Dmc Fm Oneline Radio Kwanza Dmc Kirefu Chake ni Disciple Making Church hivyo Redio hii Ni redio Iliyo Chini ya Roho Mtakatifu Chini Ya Mpakwa Mafuta wake Pastor Yusto Swai Mbeba Maono wa Kanisa la Dmc madhabahu ya Uanafunzi na Ishara ni Mahali ambapo HUMANITY meets DEVINITY.